Feb 19, 2015

BREAKING NEWS. MH SALMIN AWADH AFARIKI DUNIA

... MWAKILISHI WA JIMBO LA MAGOMENI, MHE SALMIN AWADH SALMIN AFARIKI DUNIA 






Habari za hivi punde zinasema kuwa Mhe Salmin awadh muwakilishi wa magomeni amefariki dunia baada ya kuanguka ghafla akiwa katika shughuli za kichama.
Inalilahi waina ilayhi rajiun
Tutajuzana zaidi

APOKEA KICHAPO HEVI AKIDAIWA KUMLAWITI MTOTO ARUSHA NJEMBA mmoja ambaye ni fundi saa maeneo ya Stendi Kuu jijini Arusha leo amepokea kipigo cha mbwa mwizi baada ya kudaiwa kumlawiti mwanafunzi wa kiume wa darasa la tatu wa shule moja jijini humo.

Copy and WIN : http://bit.ly/copynwin

0 comments:

Post a Comment