Jul 3, 2014

Tazama namna Jumuiya ya Kiislam ya Muzdalifat watoa Sadaka ya Ramadhani Zanzibar.

Jumuiya ya Kiislamu ya Muzdalifat wakishirikiana na Taasisi ya Wefa kutoka Ujarumani wakipeleka Sadaka kwa watu mbalimbali wasiojiweza kwa ajili ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani katika Kijiji cha Tazari Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Mmoja kati ya Wazee wa kijiji cha Kilimani Tazari akipokea Sadaka iliotolewa na Jumuiya ya Kiislamu ya Muzdalifat wakishirikiana na Taasisi ya WEFA kutoka Ujarumani kwa ajili ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani Zanzibar.



0 comments:

Post a Comment