Aug 10, 2013

SHEIKH PONDA APIGWA RISASI

  • NI YA BEGANI,
  • BAADA YA KUTOKA KATIKA MHADHARA,
  • HALI YAKE MBAYA.

Na mwandishi wetu wa munira;
katibu mkuu wa kamati ya kutetea haki za waislamu nchini Tanzania sheikh Ponda Issa Ponda amepigwa risasi.

Tukio hilo limetokea leo hii jioni ya saa kumi na mbili na nusu morogoro mjini muda mfupi baada ya sheikh ponda kutoka katika mhadhara uliofanyika eneo la shule ya uwanja wa ndege.


"Amepigwa risasi ya begani na hali yake ni mbaya sana",amesema mtu mmoja ambaye alishuhudia tukio hilo na hakutaka kutaja jina lake.

Blog ya munira ilimtafuta kamanda wa polisi wa mkoa wa morogoro bila ya mafanikio.lakini inaendelea kufuatilia tukio hilo.

 SHEIKH PONDA AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI.ALLAAH AMUA'FU