Jan 12, 2015

52 wafariki baada ya kunywa kinywaji chenye sumu Msumbiji


Watu 52 wamefariki baada ya kunywa kinywaji chenye sumu kwenye mazishi katika mkoa wa Tete kaskazini magharibi mwa Msubiji. 

Ripoti zinasema wengine 51 wamepelekwa hospitali wilayani Cahira Bassa baada ya kunywa kileo hicho cha kienyeji kwa jina Pombe.

0 comments:

Post a Comment