Jan 12, 2015

20 wajeruhiwa kwenye mapigano ya kidini Algeria

Watu 20 wamejeruhiwa na nyumba 18 kuchomwa kwenye mapigano ya kidini katika mkoa wa Ghardaia kilomita 600 hivi kutoka mji mkuu Algiers nchini Algeria.
Polisi wamewakamata watu 15 kuhusiana na tukio hilo la mgogoro kati ya jamii za Chaamba ambao ni waarabu na waislamu wa Mozabite Berbers.

0 comments:

Post a Comment