May 19, 2015

KUMRAADHI WAPENDWA WASOMAJI

Mkurugenzi wa Munira blog,inapenda kuwaomba Radhi wasomaji na wapenzi wa Munira Blog kwa Blog hii kutokua hewani zaidi ya mwezi mmoja.

Hii imetokana na kuharibika kwa vitendea kazi vyetu.

Uongozi na watendaji wa Blog hii imejitahidi kukabiliana na tatizo hilo na na hali imeanza kutengemaa

Tunaomba mutuvumilie kutoka na mapungufu hayo ambayo yapo nje ya uwezo wetu.

Aidha tunatoa wito kwa wapenda kheri na maendeleo kujitokeza kwa ajili ya kutusaidia kupatikana kwa vifaa vya kutosha.

Tuendelee kushirikiana

Ahsanteni




0 comments:

Post a Comment