Mar 12, 2015

Habari za hivi punde

Taarifa za hivi punde, Majambazi wamevamia maduka hapo kwa mwalimu Nyerere kwenye ATM Ya CRDB . Duka la vinywaji Mohans Million 100, wamebeba pesa zote na maduka ya Jirani yote . Na yametoweka.

0 comments:

Post a Comment