Feb 14, 2015

TAHARUKI TANGA

Kuna taarifa kutoka Tanga kuna  mapigano makali ya silaha za moto kati ya jeshi la polisi na kundi linalilosemekana ni lakigaidi.

mapambabo yapo mapango ya amboni.

nguvu ya askari kutoka dar tayari wapo tanga kuongeza nguvu.

tuombeani kwa Mungu askari wetu wawe na ujasiri na
waweze kushinda hii vita
hili kundi ndilo linaplan kuvamia vituo vya polisi na kuua askari na kuiba silaha.

 Breaking news!!
Tanzania tayari imepoteza wanajeshi 7 ktk mapambano yanayoendea hivi sasa na kundi la kigaidi linalodhaniwa kuwa ni All shabab inasemekana wapo ktk mapango ya Amboni Tanga

0 comments:

Post a Comment