Feb 15, 2015

PICHA ZA MATUKIO YA WAKAAZI WA TANGA WAISHIO DAR

 Naibu waziri wa mawasiliano sayansi na Teknoljia ambaye pia ni Mbunge wa Bumburi Mhe January Makamba,akikabidhi Pesa taslimu shilingi laki tatu,laki
moja kati ya hizo ni Ada ya kujiunga na uanachama wa Umoja huo.

Picha chini,mhe Makamba akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa UMATADA.


Mhe Makamba akiwa katika picha ya pamoja na Wadhamini wa UMATADA.

 MHE MAKAMBA NA DR NAJMI WAKIFUATILIA KWA MAKINI RISALA YA UMOJA HUO.
Dr Najmi,ambaye ni Mjumbe wa NEC (CCM) Taifa ,Akiwasilisha taarifa ya kuipata Jumuiya Ardhi heka mia moja zilizopo wilaya ya kipindi mkoa wa Tanga.

Sehemu ya wanachama wakifuatilia taarifa za Jumuiya yao.

 Picha chini ni baadhi ya viongozi wa meza kuu.
 Picha chini,mhe Makamba akijumuika na wanachama kupata chakula. 



 Wanachama wakiwa katika foleni ya kupata chakula

0 comments:

Post a Comment