Jan 5, 2015

Kumradhi wapendwa wasomaji wetu

Uongozi wa Munira blog unapenda kuwaomba radhi wasomaji wetu kwa blog hii kutokua hewani kwa zaidi ya mwezi mmoja.

Hii imetokana na tatizo la kuharibika vitendea kazi vyetu ikiwemo lap top na camera.

Japo tumejitahidi kuidhibiti hali hiyo,lakini bado tunapenda kutoa wito kwa wapenda kheri wakeze kutusaidia kupatikana kwa vitendea kazi ili tumudu kuwahabarisha pasipo kutetereka.

0 comments:

Post a Comment