MKURUGENZI
mtendaji wa shirika la bima Zanzibar Abdull-nassir Ahmed akifungua
mkutano wa siku moja wa kuwaelimisha wadau wa bima, juu ya dhana ya bima
inayofuata misingi, sharia na kanuni za kiislamu, mkutano uliofanyika
Chakechake Pemba, kulia ni mkurugenzi masoko wa Bima Said Mohamed na
kushoto ni mjumbe wa kamati ya sharia kutoka bima sheikh Abdalla Talib (picha na Haji Nassor, Pemba
BAADHI
ya washiriki wa mkutano wa siku moja wa kuelimisha juu ya dhana ya
bima, inayofuata misingi, sharia na kanuni za kiislamu, wakifuatilia
mada iliotolewa na kaptein
Jamil kutoka Pakistan hayupo pichani, kwenye mkutano huo uliofanyika
hoteli ya Misali sun set beach Chake chake (picha na Haji Nassor, Pemba)
0 comments:
Post a Comment