KIVUKO kipya kinachotegemea kufanya safari kati ya
Jiji la Dar es Salaam na Bagamoyo kimepokelea leo na Waziri wa
Ujenzi,John Magufuli katika Bandari ya Dar es Salaam.
Kivuko hicho mabacho kitakuwa kikipita katika vituo saba kati ya miji
hiyo mwili, kimefungwa vyombo vya kuongozea vya kisasa (Navigational
Equipment) vikiwemo GPS Compass, Automatic Identification System (AIS),
Radar, Echo Sounder, CCTV Cameras na kina vyombo vya kutosha vya
kuokolea watu kama ‘life jackets’, ‘life bouys’ na ‘life rafts’.
Akizungumza na GPL, Waziri Magufuli alisema” “Kuanza kwa kivuko hiki
kutasaidia kwa kiasi kupunguza foleni kwa wakazi wa jijini la Dar es
Salaam, kwani kina uwezo wa kubeba abiria 300 kwa kukaa.
DAKTARI APIGA WAGONJWA
WILAYANI NGARA
Picha kutoka maktaba ya Rorya Kwetu
Wagonjwa waliolazwa na kupata matibabu katika kituo cha Afya Lukole
wilayani Ngara mkoani Kagera, juzi wamejikuta kwenye wakati mgumu baada
ya kupata kipigo kutoka kwa mganga wa kituo hicho ambaye aliwataka
kushiriki zoezi la usafi katika vyumba na mazingira ya kituo hicho.
Wakizungumza na wanahabari kituoni hapo, wagonjwa hao walidai kuwa
Mganga Mkuu wa kituo hicho, Fred Nyangosie aliwapiga wagonjwa na jamaa
zao akiwataka wafanye usafi, huku wengine wakiwa ni wagonjwa
wasiojiweza.
Mmoja wa wagonjwa hao, Ester Bonifasi aliyekuwa akipata matibabu katika
kituo hicho, alisema kituoni hapo kuna utaratibu wa kuzuia wagonjwa
kulia chakula wodini, hivyo walipokutwa wakikiuka utaratibu huo walianza
kupigwa na mganga huyo.
Alisema mganga na wafanyakazi walianza kuwaburuta waliokuwa ndani ya
wodi za wagonjwa na kuamriwa kufanya usafi, huku waliokuwa wakizubaa
kutafuta zana za kufanyia usafi huo,walikuwa wakipigwa na watu kukimbia
ovyo. Aidha kijana Samweli Gwassa alisema yeye alikamatwa na mganga huyo
na kumfungia kwenye chumba maalumu kilichojulikana kuwa ni mahabusu
alipokuwa akiegesha baiskeli yake pembeni ili akachukue kwanja.Mganga
Mkuu wa kituo hicho, Fred Nyangosie hakutaka kutoa maelezo ya chanzo cha
kuwapiga wagonjwa na jamaa zao bali alidai kuwa ili aweze kuongea
lazima awe na kibali kutoka kwa mwajiri wake.Hata hivyo, Mkurugenzi wa
Halmashauri ya Wilaya ya Ngara, Colnery Ngudungi alisemaKamati ya Afya
ya Wilaya itakaa na kujadili changamoto za kituo hicho na uamuzi
utakaotolewa atawajulisha wananchi na utoaji huduma unaendelea.
Make Money at : http://bit.ly/copy_win
Make Money at : http://bit.ly/copy_win
DAKTARI APIGA WAGONJWA WILAYANI NGARA

0 comments:
Post a Comment