Nov 7, 2014

KUMRADHI WASOMAJI WETU

UONGOZI WA TAASISI YA MUNIRA MADRASA AND ISLAMIC PROPAGATION ASSOCIATION KUPITIA KWA MKURUGENZI WA MUNIRA BLOG INAPENDA KUWAOMBA RADHI WASOMAJI WETU KWA KUTOKUA HEWANI KWA KIPINDI CHA MWEZI MMOJA.

HII IMETOKANA NA IKHTILAFU ILIYOJIKTOKEZA KATIKA VITENDEA KAZI VYETU.

KWA SASA HALI IMETENGEMAA NA TUNAOMBA MUENDELEE KUSOMA HABARI ZETU ZENYE UKWELI,UHAKIKA NA MAADILI MEMA.

0 comments:

Post a Comment