Oct 2, 2014

KIMEMO CHA SITA HADHARANI

Barua ya Sitta kumjulisha Waziri mkuu wakutane haraka offisini kwake mambo magumu ni bada ya Mwanasheria wa Z’bar kupiga kura ya no ,yavuja ukumbini.

1 By3oIKGIcAAeU2u
Hali ya Mwenyekiti wa Bunge lakatiba Samuel Sitta na gangi lake imekua ngumu mno bada ya leo na yeye Mwanasheria mkuu wa Zanzibar kupigilia msumari wa kura ya uwazi ya kukataa.
Hali hii imemtia kikwewe Samuel Sitta na Wana Mapinduzi wa Rasimu ya katiba kuhaha na kuona sasa hali imekua ngumu na kusaka mbinu nyingine.
Sitta amuru kumuandikia kiji notice Waziri mkuu Mizengo Pinda kumtaka ofisini kwake mara moja bada tu, ya Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar kupiga kura ya No.

0 comments:

Post a Comment