Munirablog inawaomba wanaMadrasa wote nchini Tanzania kuitumia blog hii katika kubainisha utendaji wao wa kazi.
Kwa kuwa madhumini ya blog hii ni kutangaza habari za Waislamu na jamii kwa ujumla ni vyema muwasiliane nasi ili tuweze kuwafikia na hatimaye tuweke wazi Mafanikio na Changamoto mbalimbali zinazozikabili Madrasa zetu.
Tunaimani ipo faraja itakayopatikana kwa uwezo wa ALLAH.
Aidha Taasisi mbalimbali za Kiislamu zisisite kuwasiliana nasi.
Tupo kwa ajili yenu,tuiteni tuwaitikie.
TUPIGIE KWA NAMBA 0719/0786 46 47 00
0713 44 16 39
0658 316 316
0 comments:
Post a Comment