Feb 13, 2014

Muhadhara wa Abuu Ismail Zanzibaar: Masjid Munawara Chumbuni Zanzibaar Waislaam wapata Faida.

somalimemo.netMamia ya waislaam waliokuwa na hamu ya kumsikiliza Abuu Ismail Ibrahim katika Masjid Al Munawara Chumbuni Zanzibaar walimwona kwa mara ya kwanza baada ya kuwa pamoja nae miaka ya nyuma ya 2000 kwenye visiwa hivyo.

Mmoja ya wale waliongozana na Abuu Ismail ameliambia mwandishi wa tovuti ya kislaam ya Somali aliyoko Dar Es Salaam kuwa jana walifika mji wa Zanzibaar kwa Salama na Amani na baada ya kupumzika mda kidogo walianza kwenda na kutoa Da'awah kwenye Masjid Al Munawara.

"Alhamdulilah Allah ametufikisha salama Zanjibaar na hivi ndio tunatoka kwenye Da'awah Masjid Al Munawara chumbuni,kuhusu kushikwa si sahihi pale Dar Es Salaam wala kuvamiwa na Maaskari kule Arusha,bali Darsa inaendelea vizuri na Alhamdulilah Masjid Al Munawara waislaam walikuja kwa wingi na kuvutiwa saana mara baada ya kumwona Abuu Ismail Asalafiyu" alisema mmoja wa maikhwa waliofuatana nae Shekhe.

Baadhi ya watu walishangaa kumwona Al Akh Abuu Ismail ambae walisoma nae kwa yale maneno ya wapinga Jihadi ambao hutoa kashfa kuwa Al Akh hakusoma,kwenye Muhadhara wake Masjid Al Munawara kawataja baadhi ya mashekhe wake walio hai na waliofishwa kwa hakika wapinga Jihadi wana dhalilika saana kila sehemu ambao Abuu ismail hafidhahullah Allah anampitisha.


Twamwomba  Allah awakinge na Shari za hawa wanafiki Mada'ia wote wanaolingania Da'waha ya Jihadi kila pembe ya Dunia.

chanzo mtandao wa kiislamu somali

0 comments:

Post a Comment