Aug 29, 2013

MAJAMBAZI YAPORA PESA BENK

                                      IGP SAID MWEMA


  • NI LEO ASUBUHI.
  • KATIKA BANK YA HABIB AFFRICAN,
  • WALICAA SARE ZA POLISI.

Majambazi baadhi yao wakiwa wamevalia sare za jeshi la polisi, wamevamia Benki ya Habib African iliyopo Mtaa wa Livingstone Kariakoo, Jijini Dar es Salaam na kupora kiasi kikubwa cha fedha


Tukio hilo limetokea Leo hii Asubuhi na kwa mujibu wa chanzo chetu cha habari hakuna aliyejeruhiwa,waliingia jamaa wawili,mmoja akiwa kava sare za polisi zenye nyota kibao huku kashika breafcase,hawa wakaaingia ndani,wawili wengine wakabaki mlangoni,kumbe ni wazee wa kazi,wamechukuwa kilaini kabisa”alisikika shuhuda mmoja