Nov 9, 2013

Hakuna JIHADIN NIKAHA;FATWA

somalimemo.netKatika siku za hivi karibuni kumekuwa na kejeli au istizai ya kuiharibia Mujahadina wanaopigana nchini Syria,khususan Wapiganaji wa Kislaam walio na lengo la kurudisha khilafah au nidhamu ya Sheria za Kislaam katika Ardhi ya Shaam.


Hivi karibuni ulisambazwa kejeli kuwa wapiaganaji wa Kislaam nchini Syria wamekuwa na tabia ya kile kinachoitwa "Jihadi ya Nikah" ingawa Mujahidina wenyewe wamekanusha kuwepo kwa tuhuma hizo.


Hili neno la Jihadi ya Nikah جهاد النكاح” ni neno jipya iliyoibuka hivi karibuni,na imejikiti kwenye Fatwa ya uongo uliosambazwa kwenye mitandao ambao wahusika wamenasibishwa na mashekhe wanao unga mkono Jihadi inayoendelea nchini Syria pamoja na Makundi ya Kijihadi wanaopigana kwenye nchi hiyo.


Fatwa hiyo ya Ki uzushi inawataka wanawake kwenda nchini Syria ,na kushiriki katika harakati ya Jihadi inayoendelea syria,kitu cha kushangaza ni kuwa Fatwa hiyo ya Kiuzushi inatoa wito kwa wanawake kuingia katika ndoa ya muda maalum,(Kama vile ndoa zile za Kishia),na inasemekana lengo ni kuwahamsisha wapiganaji dhidi ya  utawala wa Bashar Al Asad.


Sheikh Abu Mohamed Al-Maqdasy ambae ni miongoni mwa wanazuoni wa kisalafi wanao unga mkono Jihadi ya Syria,na ambae yu katika Gereza moja iliyopo nchini Urdun amezungumzia vikali na kuitolea majibu mambo ya uzushi waliosambaziwa Mujahidina wa Syria na kutoa ufafanuzi hukmu ya "Jihadu Nikah".

0 comments:

Post a Comment