NAFASI MPYA ZA KAZI BANDARINI (TPA) - TANGA
TANZANIA PORTS AUTHORITY
Office of the port master
Telephone: +255-27-26-43078
Fax: +255-27-264236
E-mail pmtanga@tanzaniaports.com
Bandari house, P.O.BOX443,TANGA
KUMBUKUMBU: NA.TPE/2/2/05
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
Maombi yanakaribishwa kutoka kwa watanzania
wenye sifa za kujaza nafasi za kazi zilizo tajwa hapa chini katika ajira ya
mkataba usio kuwa na muda maalumu katika Bandari ya tanga.
Nafasi hizo ni zifuatazo hapa chini:-
1.NAFASI:MECHANICAL EQUIPMENT OPERATOR
IDADI YA NAFASI: 7
NGAZI YA MSHAHARA: TPOS 4
IDARA:UTEKELEZAJI
SIFA ZINAZOHITAJIKA
i.Elimu /utaalamu
ii.Cheti cha kufuzu kidato cha nne na sita
iii.Cheti cha M.E. operator course
(winch/crane/tractor forklift)
iv.Awe na leseni ya udereva daraja “D”
v.Awe na uzoefu wa kazi usiopungua miaka (3)
vi.Aweze kutumia kompyuta
MUHTASARI WA KAZI
-Ataendesha forklift na vyombo vingine vya
kunyanyulia mizigo vinavyolingana navyo(light equipment)
-Atapanga, kusogeza, kupakianakupakuamizigo
-Atahakikishausalamawamashinenamalianayoshughulikiaawapokazini.
-------------------------------
2.NAFASI:COXSWAIN (BOAT)
IDADI YA NAFASI:3
NGAZI YA MSHARA:TPOS 4
IDARA:UTEKELEZAJI
SIFA ZINAZO HITAJIKA: ELIMU NA UTALAAMU
-Cheti cha kufuzu kidato cha nne au cha sita
-Awe na class 3 certificate of competence/small
craft navigation certificate.
-Awe na uzoefu wa kazi za kuendesha boat/vyombo
vya moto vya baharini usiopungua mwaka mmoja.
-Aweze kutumia kompyuta.
MUHTASARI WA KAZI
-Kukagua usalama wa chombo kabla hujaanza
safari
-Kuelekeza baharia kazi za kufanya kama kufunga
kamba
-Kuongoza chombo
-------------------------------
3.NAFASI:TUG MASTER
IDADI YA NAFASI: 1
IDARA: UTEKELEAZJI
NGAZI YA MSHARA: TPOS 4
SIFA ZINAZO HITAJIKA:ELIMU NA UTALAAM
-Cheti cha kufunzu kidato cha nne au cha sita
-Awe na class iii certificate of competence,
efficient deckhands and safet mandatory certificate
-Awe na uzoefu wa kazi usiopungua miaka nne(4)
katika kusimamia na kuendesha Tug(tugmate)
MUHTASARI WA KAZI
i.Kukagua Tug kuhusu usalama kabla ya kuanza
kazi
ii.Kufundisha Tug Mate jinsi ya kuendesha Tug
iii.Kusimamia na kuendesha Tug katika Bandari
iv.Kusaidia kuelekeza meli baharini kwa
kusukuma, kusogeza na kuelekeza meli wakati wa kuingia na kutoka bandarini
kadiri atakayoelekezwa na Habour, Pilot,harbour Master kwa madhumu ni ya kutoza
ushuru kwa huduma zilizotolewa kwenye meli
---------------------------------------------------
4.NAFASI:ARTIZAN 1 (WELDING) CIVIL
IDADI YA NAFASI:1
NGAZI YA MSHARA: TPOS 4
IDARA: UHANDISI
SIFA ZINAZO HITAJIKA: ELIMU NA UTALAAM
-Cheti cha kufunzu kidato cha nne au cha sita
-Awe na trade test 1 (welding ) au Full
Technician Certificate
-Awe na uzoefu usiopungua mwaka mmoja
-Aweze kutumia kompyuta.
MUHTASARI WA KAZI
-kufanya matengenezo na vifaa vya kazi
-kufanya kazi nyingine kama atakavyoelekezwa na
mkuu wake wa kazi.
---------------------------------
5.NAFASI:HIGHER CLERICAL OFFICER
IDADI YA NAFASI:1
NGAZI YA MSHARA:TPOS 3
IDARA:TIBA
SIFA ZINAZO HITAJIKA : ELIMU NA UTALAAM
-Cheti cha kufunzukidato cha nne au cha sitA
-Awe na “Diploma in Record Management” au sifa
zinazolingana nazo kutoka chuo kinachotambulika.
-Awe na uzoefu wa kazi usiopungua mwaka
mmoja(1)
-Aweze kutumia kompyuta
MHITASARI WA KAZI
i.Atatunza kumbukumbu za kitabibu kulingana na
taratibu zilizopo
ii.Ataandaa majarada ya wagonjwa
iii.Kupanga majarada ya wagonjwa kulingana na
taratibu zilizopo
iv.Kutoa majarada ya wagonjwa pale
yanapohitajika
v.Kuhakikisha taratibu za kitabibu
zinahifadhiwa katika hali ya usalama na usiri
vi.Kufanya kazi zingine kama atakavyoelekezwa
na mkuu wake wakazi
------------------------------------------------
UTARATIBU WA KUTUMA MAOMBI
Maombi yatumwe na kuambatanishwa nakala za
vyeti na maelekezo binafsi (CVs) na namba ya simu kwa:
Mkuu wa Bandari
Mamlaka ya usimamizi wa bandari Tanzania
S.L.P 443,
TANGA
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 10 march
2014 Tafadhari zingatia kuwa watakaoitwa kwenye usaili ni wale tu watakaotimiza
vigezo.
--------------------------------------------------------
(F.J.LIUNDI)
KAIMU MKUU A BANDAJI
LOL HUYO PS ALIYECHAPA HILI TANGAZO INABIDI ATUMBULIWE NA MHESHIMIWA!NINI MAANA YA MAJARADA? KAIMU MKUU A BANDAJ!!!TAFADHARI!!!!KUFUNZUKIDATO!!!!MHITASARI WA KAZI!!!!!UTALAAM!!!!sitA!!!SAFET!! HALAFU MSHAHARA MNAWALIPA MILIONI NA WALIMU MNAWALIPA LAKI MBILI,FOR SURE HII NCHI YETU INAHITAJI MABADILIKO MAKUBWA BECAUSE ITS REALY SHAME...INAEZEKANA VIPI MTU ANAETOA TANGAZO LINALOHITAJI WATU WENYE QUALIFICATION KUBWA KAMA MASTERS HALAFU YEYE HATA HIYO CERTIFICATE NI YA MASHAKA!!VIONGOZI WENGI NDO WAMETUFIKISHA HAPA NA HAWATAKI KUAJIRI WATU KWA KIGEZO CHA QUALIFICATIONS AND COMPACTIBLE SKILLS,....TUTAENDELEA KUSHIKA NAFASI YA KWANZA KATIKA NCHI MASKINI DUNIANI NA YA KWANZA KWA UTAJIRI WA MALIASILI PIA KWANI HATUTAKI MABADILIKO #ASANTENI BANDARI TANGA KWA KUONYESHA NI NAMNA GANI KILA MTU HAWAJIBIKI KWENYE NAFASI YAKE HUYO AFISA UTUMISHI ALIYERUHUSU TANGAZO LENYE MAKOSA MENGI NAMNA HII USITAKE KUMFUATILIA SANA MAANA UNAEZA KUKUTA ANA MASTERS LAKINI MAMBO NDO HAYA@MUWE NA SIKU NJEMA
ReplyDeleteL
ReplyDeleteDaaaaag hili tangazo linanitia uchungu jamaniii
ReplyDeleteNafasi ikitokea basi naomba niwe mmojawapo, kwani nimesoma mobile crane operator.
ReplyDelete