Sep 12, 2013

Michango ya Msikiti wa Kichangani

Katika wiki iliyopita tulitoa takwimu juu ya michango inayoendeshwa katika Msikiti wa Kichangani kwa lengo la kuleta maendeleo bila kutegemea wafadhili.

Katika maelezo yetu tulitoa ahadi ya kwamba tutakuwa tunatoa michango hiyo kila siku ya Alkhamis.

Tunasikitika kuwafahamisha wasomaji wetu kwamba hadi tunaingia mitamboni tulikuwa bado hatujapata takwimu hizo kutoka kwa viongozi wa Msikiti wa Kichangani.

Tunategemea kupata takwimu hizo muda wowote kutoka sasa,nasi tutazirusha takwimu hizo kesho Ijumaa Inshaa Allah.

0 comments:

Post a Comment