Feb 28, 2016

BAADHI YA MATUKIO YA MKUTANO MKUU WA UMATADA UNAOENDELEA HIVI SASA


Ndugu Abdul R.Mswaki ambaye ni mwenyekiti wa UMATADA ,akifungua mkutano Mkuu. 



Mzee Ayoub Shebuge ambaye ni mlezi na mjumbe wa Bodi ya Wadhamini UMATADA,akitoa Nasha muda mfupi baada ya kufunguliwa mkutano Mkuu.

 Viongozi wa UMATADA wakiwa wamesimama ikiwa ni ishara ya kuwaombea Dua wanachama wenzao waliofariki..


 Ndugu Omar Shemzigwa ambaye ni katibu mkuu UMATADA ,akisoma Taarifa ya Chama mbele ya wajumbe wa Mkutano Mkuu.



 Baadhi ya wajumbe wa Mkutano Mkuu wakifuatilia kwa makini taarifa ya chama kwa kipindi ccha July Hadi Desemba 2015, ambayo ilisomwa na Katibu Mkuu.




 Ndugu Abdallah Sabaya (mjumbe) , akichangia Taarifa ya chama

Ndugu Athman Saidi ambaye ni mjumbe wa UMATADA akichangia taarifa ya chama kwa kuhamasisha chama kijikite  katika mradi wa Ufugaji Nyuki.

 Ndugu Hassan ambaye ni Mjumbe wa Kanda ya Kunduchi,akitoa taarifa maalum.
 
 
HABARI KAMILI ZITAWAJIA BAADAE

0 comments:

Post a Comment