Jan 27, 2015

MAMA AWAUA WATOTO WAKE NA KUWAZIKA CHUMBANI

Mwanamke mmoja mkoa
Tabora wilaya ya Tabora mjin kata ya chemchem amewaua watoto wake 2 na kuwazika ndani ya NYUMBA yake.

Mume kamkimbia maisha akayaona magumu akawalisha sumu walivyokufa akaanza kuchimba hilo shimo, kuna jirani alimsikia akichimba lakini akampuuza.

Siku ya pili akatangaza
kupotelewa na watoto ila yule jirani akaliwekea mashaka na akatoa taarifa polisi kwamba kuna siku alimsikia muhusika kama alikuwa anachimba usiku na siku hiyo aliwaona watoto wake wote wakiingia
ndani kwao kwani mara ya mwisho walikuwa kwake wakicheza mpaka giza lilopoingia ndio akawaamuru warudi nyumbani.

0 comments:

Post a Comment