Nov 14, 2014

MACHINGA COMPLEX LAUNGUA

BREAKING NEWWWWWWW JENGO LA MACHINGA LAWAKA MOTO

MOTO MKUBWA WAZUKA KATIKA JENGO LA WAFANYA BIASHARA NDOGONDOGO LILIOPO KATIKA MAKUTANO YA BARABARA YA LINDI NA KAWAWA KARIBU KABISA NA UWANJA WA KARUME ILALA JIJINI DAR ES SALAAN  MAARUFU  KAMA MACHINGA COPLEX JUHUDI ZA KUUZIMA MOTO ZINAENDELEA.

0 comments:

Post a Comment