Nov 30, 2014

IDARA YA MADRASA DYCCC YAKABIDHI ZAWADI ZA MAMILIONI

 Idara ya madrasa DYCCC ya Jijini Dar es salaam,hivi karibuni walimwaga zawadi za vifaa mbalimbali kwa wanafunzi wa madrasa  za mkoa wa Dar es salaam



Sheikh Nurdin Kishk ambaye alikua mgeni rasmi akamkabidhi zawadi ya jokofu mwanafunzi wa madrasatu tarbiyatu ya magomeni mapipa ambaye mshindi wa kwanza wa darasa la tatu ,huku mwalimu wake ustaadh Ramadhan akishuhudia tukio hilo.

msichana Asia Ramadhan,akipokea Computer kutoka kwa mgeni rasmi ikiwa ni sehemu ya zawadi kwa wanafunzi wa madrasa za mkoa wa Dar es salaam ambao wamefaulu mitihani inayoandaliwa na idara ya madrasa DYCC



0 comments:

Post a Comment