Oct 1, 2014

MCHUNGAJI AWAPONYA WAGONJWA KWA KUWAKANYAGA KANYAGA



Yule Pastor Mwenye Vituko Vingi Kutoka South Afrika anayejulikana kwa jina la Lesego Daniel amekuja na Mpya baada ya kuwalisha majani waumini na kubadilisha petrol kuwa Juice ya Apple , Sasa eti anawaponya Waumini wake ambao wanasumbuliwa na magonjwa kwa kuwakanyaga migongoni...Angali Picha Hapo Juu

0 comments:

Post a Comment