Sep 2, 2014

PICHA:Maaskari na Maofisa waliouawa katika shambulio iliyofanyika jana kwenye Gereza mjini Mugadishu.

Kuna maelezo zaidi kuhusiana na shambulio iliyokuwa imepangwa jana ambapo ilifanyika kwenye Kituo cha upelelezi na Gereza iliyo karibu na mji wa Mugadishu.

Duru kutoka ndani ya Serikali ya FG iliambia SomaliMemo kuwa kwenye shambulio hilo waliuawa zaidi ya Maaskari pamoja na Maofisa wakuu 15 ndani ya Majengo ya Gereza la Godka Jili'ow.

Pia Wanajeshi wawili kutoka Uganda nao wameuawa kwenye shambulio hilo,Gari iliyokuwa imejazwa vitu vya vilipuzi ililipuka nje ya Geti na kusababisha hasara hiyo kubwa.

Embedded image permalink
Embedded image permalink
Embedded image permalink
Embedded image permalink
Embedded image permalink

0 comments:

Post a Comment