UONGOZI WA BLOG YA MUNIRA,
UNAPENDA KUWAOMBA RADHI WASOMAJI WAPENDWA WA BLOG HII,KWA BLOG HII KUTOKURUSHA HABARI MBALIMBALI KWA MASIKU KADHAA.
HII INATOKANA NA KUHARIBIKA KWA VITENDEA KAZI.
TATIZO HILI LIMEKUWA NI KERO KWA UONGOZI KIASI CHA KUDHOOFISHA UTENDAJI.
HII INACHANGIWA NA BLOG KUWA NA LAP TOP MOJA NA KAMERA MOJA TU KITU AMBACHO KINAPUNGUZA UFANISI WA UTENDAJI WETU LICHA YA KUWA NA HAMASA KUBWA KATIKA KUWAPATIA HABARI SAHIHI NA ZENYE MAADAILIKWA WAISLAMU NA JAMII KWA UJUMLA.
TUNATOA WITO KWA MTU MMOJA MMOJA AU TAASISI N.K KUTUPATIA VITENDEA KAZI ILI TUWEZE KUSONGA MBELE.
VITENDEA KAZI TUNAVYO KUOMBENI NI LAP TOP, KAMERA NA VINASA SAUTI KWA IDADI YOYOTE MUTAKAYO JAALIWA.
TUNAOMBA TUSHIRIKIANE KATIKA HILI KWA KUTARAJI RADHI ZA ALLAH S.W.
TUNAOMBA RADHI KWA USUMBUFU ULIO WAPATA NA TUNAOMBA MUENDELEE KUFUATILIA HABARI ZENYE UKWELI,UHAKIKA NA MAADILI MEMA AMBAZO UTAZIPATA KWA WAKATI MUAFAKA KUPITIA HAPA (KATIKA) BLOG YAKO PENDWA YA MUNIRA MADRASA.
AHSANTENI SANA.
0 comments:
Post a Comment