Kijana ambae jina lake halijaweza kufamika mara moja,aneishi mwananyamala jijini Dar es salaam amenusurika kifo baada ya kujidhuru kwa kujichoma kisu.
kijana huyo ambaye ni mwanafunzi aliyemaliza kidato cha nne mwaka jana
2013 alikutwa amejichoma kisu shingoni na kuwahishwa hospital ,huku
chanzo kikisemekana kuwa ni matokeo yako ya kidato cha nne,matokeo yake
hayakuwa mazuri kwa upande wake amefeli kwa kupata ziro...
0 comments:
Post a Comment