Feb 22, 2014

Matukio Yaliyojiri katika KongamanoLlililofanyika katika Msikiti wa Kichangani

 BAADH YA MASHEIKH WA KITUO CHA KIISLAM CHA MISRI WAKIWA PAMOJA NA MASHEIKH NA VIONGOZI WA MSIKITI WA KICHANGANI,KATIKA KONGAMANO LA ULINGANIAJI NA ATHARI ZAKE KATIKA KUPIGA VITA UBABE NA UGAIDI.

 
 BAADHI YA WASHIRIKI WAKIMSIKILIZA KWA MAKINI MTOA MADA SHEIKH PAZI




KONGAMANO HILO LIMEFANYIKA HIVI LEO KATIKA MSIKITI WA KICHANGANI,ULIOPO JIJINI DAR ES SALAAM,HADI MWANDISHI WA HABARI HIZI ANAONDOKA,KONGAMANO LILIKUWA LINAENDELEA NA MTOA MADA ALIKUWA NI NI SHEIKH ABUOBAKR SULEYMAN.
HABARI ZAIDI TUTAZITUMA BAADAE

0 comments:

Post a Comment