Kwa Waislamu wanaofuatilia mapato yanayotokana na michango inayoendeshwa katika Msikiti wa Kichangani ni kwamba,bado hatujapokea taarifa za mapato kwa kipindi hiki cha wiki moja.
Hii inatokana na ufinyi wa mawasiliano tulionao.
Lakini jitihada zinaendelea na na tunaamini mawasiliano yatakuwa mazuri na mepesi,na pindi tukishapata mchanganuo huo tutaurusha hewani kama ambavyo tumeahidi siku za nyuma.
0 comments:
Post a Comment