Sep 13, 2013

Mchungaji Amwagiwa Tindikali Zanzibar


Kwa mujibu wa habari zilizotufikia hivi punde kutoka kwa Ripota wetu Zanzibar zinaeleza kwamba mchungaji wa Kanisa Katoliki eneo la Mlandege amemwagiwa Tindikali.

Tukio hilo limetokea hivi punde wakati mchungaji huyo alipokuwa anatokea katika Internet cafe maeneo ya mlandege.

Ripota watu hakuweza kupata jina la mchungaji huyo lakini anafuatilia kujuwa kiini cha mkasa huo,nasi tutawafahamisha Inshaa Allah

0 comments:

Post a Comment