Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe,Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (wa nne kulia)
akijumuika na Waislamu mbali mbali na Viongozi katika Swala ya Eid el
Fitri iliyoswaliwa kitaifa katika viwanja vya Maisara Suleiman Mjini
Zanzibar jana asubuhi katika kusherehekeka mfunguo wa Mwezi Mtukufu wa
Ramadhan.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
Baadhi ya Mashekhe na Viongozi
wakijumuika na Waislamu mbali mbali na Viongozi katika Swala ya Eid el
Fitri iliyoswaliwa kitaifa katika viwanja vya Maisara Suleiman Mjini
Zanzibar leo asubuhi katika kusherehekeka mfunguo wa Mwezi Mtukufu wa
Ramadhan.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
Baadhi ya waislamu waliomaliza Swala
ya Eid el Fitri wakimasikiliza Sheikh Mziwanda Ng'wali Ahmed (hayupo
pichani ) alipokuwa akitoa Khutba baada ya swala hiyo ambapo aliwataka
waislamu kusherehekea Sikukuu ya Eid kwa upendo na mashirikiano katika
viwanja vya Maisara Suleiman Mjini Zanzibar leo asubuhi [Picha na
Ramadhan Othman Ikulu.]
Sheikh Mziwanda Ng'wali Ahmed
(aliyesimama) akitoa Khutba baada ya Swala ya Eid el Fitri mbele ya
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Alhaj Dk.Ali
Mohamed Shein na Viongozi mbali mbali wa Kitaifa na Wailslamu
waliojumuika kwa pamoja katika viwanja vya Maisara Suleiman Mjini
Zanzibar leo asubuhi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Mhe,Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Watoto
walioshiriki katika Swala ya Eid el Fitri na kuwatakia Kheri katika
kusherehekea Sikukuu hii ya kumaliza mfungo wa Mwezi Mtukufu wa
Ramadhan.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
0 comments:
Post a Comment