Idadi ya Wakristo wanaosilimu na kuingia katika Uislamu huko
kusini mashariki mwa Nigeria, inaongezeka kwa kasi.
Ripoti iliyotolewa na mtandao wa habari wa ‘On Islam’ inaeleza kuwa, idadi ya Wakristo wanaosilimu na kuingia katika dini tukufu ya Kiislamu katika mji wa Igboyi kusini mashariki mwa nchi hiyo, inaongezeka kila uchao.
Waislamu wa mji huo wamesema kuwa, chanzo cha Wakristo hao kusilimu na kuingia katika Uislamu kinatokana na wengi wao kupenda kufuatilia ukweli wa dini hii.
Kituo cha Kiislamu cha utafiti na amani kwa kushirikiana na msikiti wa taifa nchini humo, kwa pamoja vimetangaza kuwa, vipo tayari kuwapokea Waislamu ambao ndio kwanza wanajiunga na dini hii kwa lengo la kuwapatia mahitaji mbalimbali pamoja na ushauri.

0 comments:
Post a Comment