Picha hizo
mbili zinamuonyesha mtoto huyo ambaye hakuweza kufahamika jina lake wala
mama yake, akiwa ametolewa kwenye mfuko wa Salfet aliokuwa amehifadhiwa
na kutupwa, hiyo khanga ni kutoka kwa msamaria mwema
Katika hali
ya kutatanisha wananchi wa Soweto jijini Mbeya wamekutana na Kifurushi
ambacho ndani yake kulikuwa na mtoto mchanga amewekwa na kutupwa akiwa
amefariki, ikiwa ni tukio la pili kutokea eneo hilo baada ya tukio kama
hilo kutokea wiki mbili zilizopita.
0 comments:
Post a Comment