Jun 28, 2014

CHUO KIKUU CHA WAISLAMU MOROGORO CHAANZA KUTOA DIPLOMA YA UALIMU WA ELIMU YA MSINGI

Chuo kikuu cha waislam  Morogoro sasa kimeanzisha program mpya ya utoaji wa DIPLOMA ya elimu ya msingi.Kwa mara ya kwanza program ya Ualimu ngazi ya DIPLOMA itakuwa ikitolewa katika chuo hicho toka hapo kilipoanzishwa.

Ili kupata taarifa zaidi ya namna ya kujiunga na vigezo bofya link hii hapa chini


                             DIPLOMA YA UALIMU WA ELIMU YA MSINGI

0 comments:

Post a Comment