Feb 21, 2014

SHEIKH PONDA KUENDELEA KUSOTA RUMANDE HADI 26/2/2014

 
 

Sheikh Ponda Issa Ponda akitolewa mahakamani kuelekea kwenye gari.
 
 
Ulinzi ukiwa umeimarishwa wakati Sheikh Ponda akipandishwa kwenye gari.
 
Sheikh Ponda akitolewa eneo la mahakama.
KESI ya uchochezi inayomkabili Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini, Sheikh Ponda Issa Ponda leo imetajwa katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam na Jaji Augustine Mwarija na kuahirishwa mpaka Februari 26 mwaka huu itakapotolewa hukumu ya dhamana!
PICHA KWA HISANI YA GPL

0 comments:

Post a Comment