Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisoma hotuba yake wakati akifungua rasmi Kongamano la Tafakuri na
Maridhiano kuelekea Katiba mpya, lililofanyika kwenye Hoteli ya White
Sands jijini Dar es Salaam, jana na kushirikisha Vyama vya
Siasa, Makundi ya dini na Asasi za kiraia
Baadhi ya washiriki wa Kongamano hilo.wakimsikiliza Makamo wa Rais Dkt Bilal akihutubia
Makamo wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Mkutano wa Kongamano
la Tafauti na Maridhiano kuelekea Katiba Mpya.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza jambo na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, baada ya
kufunguliwa rasmi rasmi Kongamano la Tafakuri na Maridhiano kuelekea
Katiba mpya, lililofanyika kwenye Hoteli ya White Sands jijini Dar es
Salaam, leo Feb 12, 2014 na kushirikisha Vyama vya Siasa, Makundi ya
dini na Asasi za kiraia
(Picha na OMR)
0 comments:
Post a Comment