Feb 25, 2014

HUYU NDIYE MTOTO ALIYECHINJWA KAMA KUU

INNAA LILLAAH WAINNAA ILAYHI RAJIUUN.


MTOTO JAMAL ENZI ZA UHAI WAKE AKIWA KASHIKA PIPI NA JUISI.

ALICHINJWA NA MWALIMU WAKE;

WANANCHI WALIPOGUNDUA NAO WAKAMCHINJA KAMA KUKU MWALIMU HUYO.

INASEMEKANA MWALIMU HUYO ALIKUWA NA MATATIZO YA AKILI.

ALIWAHI KUUGUA AKILI NA AKAWA ANAFUNGWA KAMBA.

WENGI MNO WAMEKATWA KUFUATIA KADHIA HIYO.

MUNIRA BLOG INAWAPA POLE SANA WALE WOTE WALIOFIKWA NA MISIBA HIYO.




mwili wa maremu mtoto Jamali aliechinjwa na ustadhi mbagala charambe mianzini

mwili wa marehem ustadhi mohamed kurangwa aliemchnja mtotoukishushjwa katika hospitali ya Temeke



baadhi ya familia wakiwa katika msiba







baadhi ya wakazi wakichungulia nyumba lililotokea tukio la mauaji ya kikatili


















WANANCHI WAKIWA HAWAAMINI KILICHOTOKEA.
 

0 comments:

Post a Comment