Wanafunzi wanne Wa shule ya sekondari Mustapha Sabodo mjini Mtwara wamekufa na wengine zaidi ya 20 kujeruhiwa Vibaya baada ya kugongwa na gari aina ya Benz wakiwa kwenye mchakamchaka asubuhi ya leo.
Habari zaidi zitafuata baadae Inshaa Allah.
© Munira Madrasa And Islamic Propagation Association
0 comments:
Post a Comment