Daktari
bingwa kutoka China Sun Kewen akimfanyia uchunguzi wa maradhi ya tumbo
na koo mgonjwa mmoja kwa kutumia mashine ya kisasa (Endoscope)
iliyofayiwa majaribio katika Hospitali kuu ya Mnazimmoja leo.
Daktari
Wang Lei akiangali sehemu ya ndani ya tumbo la mfanyakazi wa Hospitali
ya Mnazimmoja kwa kutumia mashine ya (Endoscope) ambayo imeanza
kufanyiwa marajabio rasmi katika Hospitali hiyo. Kushoto ni muuguzi
Halima Habib Abdalla anaefuatilia kwa karibu majario ya mashine hiyo.
Dkt.
Sun Kewen na Dkt Wang Lei wakionyeshana Lei matokeo ya uchunguzi wa
mgonjwa Halima Habib aliefanyiwa uchunguzi wa tumbo kwa kutumia mashine
ya (Endoscope).
Dk.
Wang Lei akitoa maelezo ya namna mashine ya (Endoscope) inavyofanyakazi
na kutoa matokeo ya uhakika matatizo ya mgonjwa kwa muda mfupi.
0 comments:
Post a Comment