Dec 11, 2013

Polisi Wana Wake Waruhusiwa Kuvaa Hijabu

Polisi wa Kiislamu katika mji wa Edmonton Magharib ya Canada Jimbo la Alberta sasa wameruhusiwa kuvaa Hijabu wa kiwa katika sare za Polisi.

Kabla ya kuruhusiwa kuvaa vazi hilo washonaji wa hijabu katika kitengo cha polisi mbinu na mafunzo timu ya haki za binaadamu walishirikiana kubuni vazi hilo linalofunika sehemu yote ya kichwa isipokuwa uso.


Taarifa iliyotolewa na Edmonton Police Service inasema inaheshimu uchaguzi wa mwanamke wa Kiislamu kuvaa hijabu.

"EPS inaendelea kubadilika mara kwa mara kama kuwa na idadi zaidi ya polisi,haki na kushirikiana na taasisi za kipolisi katika mataifa ya magharibi ambayo tayari yamekua na sare katika vazi la hijabu"ilisema taarifa hiyo.

"Hii inafanya wanawake wa kiislamu kuwa ni sehemu ya jamii ya polisi",alisema soraya zaki hafez rais wa edmont wa baraza la kiislamu la wanawake nchini Canada.

Polisi wa kike wa kiislamu katika mji wa edmonton magharibi ya Canada, jimbo la Alberta sasa wameruhusiwa kuvaa hijabu wakiwa ndani ya sare ya jeshi hilo la polisi. Kabla ya uamuzi wa kurekebisha vazi hilo washonaji wa hijab, kitengo cha polisi mbinu za mafunzo,timu ya haki za binadamu, walishirikiana kubuni hijabu hiyo inayofunika eneo lote la kichwa isipokuwa sura. Taarifa iliyotolewa na Edmonton Police Services (EPS) inasema inaheshimu uchaguzi wa mwanamke wa kiislamu kuvaa hijabu. "EPS inaendelea kubadilika mara kwa mara, kama kuwa na idadi zaidi ya polisi, haki na kushirikiana na taasisi za kipoli katika mataifa ya magharibi ambayo tayari yamekuwa na sare kwa ajili ya vazi la hijabu",ilisema taarifa hiyo. Taarifa hiyo inatoa sababu kwa nini imeruhusu askari wa kike wa kiislamu kuvaa hijabu kwamba, "baada ya kupima kwa umakini, kwamba uvaaji hijabu hautaleta hatari yoyote, au kupunguza ufanisi au kuathiri mwingiliano wa kijamii". Akizungumzia taarifa hiyo Soraya zaki Hafez rais wa Edmonton wa baraza la wanawake wa kiislamu wa Canada, anasema, "Hii inafanya wanawake wa kiislamu kuwa sehemu ya jamii ya kipolisi".

Original from: http://googlehabari.blogspot.com/2013/12/askari-wa-kiislam-nchini-canada.html
Copyright EXEIdeas - All Rights Reserved

0 comments:

Post a Comment