Sep 13, 2013

Michango ya Msikiti wa Kichangani Awamu ya pili.


Ifuatayo ni michango ya maendeleo iliyochangwa katika msikiti wa kichangani kuanzia tarehe 06/09/2013 hadi tarehe 12/09/2013

06/09/2013.  1,129,000/
07/09/2013.       95,500/      mchango wa umeme
08/09/2013.     101,300/
09/09/2013.      244,200/
10/09/2013.      210,700/
11/09/2013.         83,950/      mchango wa umeme
12/09/2013.      210,100/

Makusanyo haya ni kwa nyakati za Swala ya Adhuhuri,Al Asri,Maghrib na Ishaa.

Takwimu hizi ni kwa mujibu wa Imam Sheikh Omar Al had

munirablog ina Nakala ya Takwimu hizi

0 comments:

Post a Comment