Aug 19, 2013

MWANAMKE AKAMATWA KWA KULA NYAMA ZA BINAADAMU


TAHADHARI:PICHA ZA KUTISHA!!

Katika hali ya kustaajabisha na kusikitisha ambayo ni ngumu kuamini katika mlango wa akili ya kawaida ni kwamba Polisi nchini Philipino  wamemkamata mwanamke anayekula nyama za watu na kuzihifadhi nyama hizo katika friji lake.

Mwanamke huyu ameua na kula zaidi ya wasichana 30 na watu wengine wengi pamoja na mume wake na kuweka nyama zao kwenye friji amekuwa akila nyama za watu kwa muda mrefu sana.

Mwanamke huyu mla nyama za watu,alisema alikuwa anaandaa party (sherehe) nyingi kwa ajili ya marafiki zake na ndugu ambao aliwapikia na kuwalisha nyama za watu bila wao kujua. Wageni wake walimsifia kuwa chakula chake kitamu.

Blog ya munira inawaomba radhi wasomaji wetu kwa picha zinazofuata hii ni katika hali ya kuthibitisha habari tulizoziandika.




Picha ya juu ni mwanamke wa kifilipino mwenye umri wa miaka 29 ambaye amekamatwa na polisi kwa kula na kuhifadhi VIUNGO VYA BINADAMU kwenye friji...