Aug 8, 2014

WAKULIMA wa muhogo mkoani Mtwara waitaka serikali kuboresha soko la zao hilo


Wakulima wa muhogo Nachingwea

WAKATI Leo wakulima wanasheherekea sikukuu ya wakulima nchini maarufu kama nanene,baadhi ya wakulima wa zao la muhogo wilaya Nachingwea mkoa Mtwara wameitaka serikali na wadau wa kilimo kuboresha masoko  ya zao hilo.

Wakiomgeana leo, wakulima hao wamesema kumekuwa na kauli mbiu nyingi katika sekta ya kilimo, lakini hali ya mkulima wa chini nchini ni mbaya mno kiasi kwamba baadhi yao wanashindwa kutimiza milo mitatu ya siku kutokana na umaskini.
 
Kuhusu soko la muhogo, wakulima hao wamesema muhogo katika baadhi ya maeneo unastawi vizuri lakini ni tatizo ni sok la uhakika.

0 comments:

Post a Comment