Mshambuliaji mwanamke wa
kujitoa muhanga amekufa baada ya kulipua mabomu katika chuo cha ufundi
kilichopo katika jimbo la Kano, kaskazini magharibi mwa Nigeria. Zaidi
ya watu watano wameripotiwa kuuawa kwenye shambulizi hilo wakati
wwakiangalia ratiba ya masomo baada ya mapumziko mafupi.
0 comments:
Post a Comment