Picha
juu na chini ni tukio lililotokea jana maeneo ya TMJ Hospital
Majambzi yalikuwa yakikimbia kwa mguu yakitokea msasani kwa Nyerere
walilishambulia basi la wafungwa la Magereza lililokuwa likisindikizwa
na gari lingine nyuma lililokuwa na askari magereza.
Shambulio hilo
limewajeruhi wafungwa na baadhi ya asakari hao wa Magereza, hakuna mtu
aliyekufa na majambazi yametokomea kusikojulikana.
Mahabusu
walibaki kushangaa na shughuli zote zilisimamakwa muda
0 comments:
Post a Comment