Sehemu nyingi hapa Somalia mwandamo wa mwezi wa Ramadhaa umeshuhudiwa jana baada ya Swala ya Maghribi ukionekana kuwa ni mwanzo wa Ramadhaan jinsi ulivyokuwa mdogo mbalamwezi,maeneo yote yalio chini ya nidhamu ya Sheria za Kislaam kusini na katikati mwa Ardhi ya Somalia jana usiku ulitangaziwa kuwa siku ya Jumapili ungekuwa Ramadhaan mosi.
Mji wa Mugadishu leo usiku katika misikiti mikubwa umeanza kuswaliwa Swala ya Sunna ya Tarawehe.
SomaliMeMo yawatakia Waislaam wote heri ya mwezi Mtukufu wa Ramadhaan.
Uongozi
wa Mtandao wa Kislaam wa SomaliMeMo unawatakia Waislaam wote popote
pale walipo kuwa heri ya Mwezi mtukufu wa Ramadhaa ambao Allah
amewajabisha kwa waja wake na kuwa fursa kubwa ya kusamehewa madhambi
yao na kuwaokoa na Moto.
Tunamwomba Allah aweze kutuokoa na Moto na pia kukubali matendo yetu mema.
Na
tunamwomba Allah kuweza kuwashinda Wavamizi kutoka mataifa mbalimbali
na kuwapa Ushindi Waislaam wanaotetea Sheria zake Popote walipo.
wakati huo huo Taasisi ya munira madrasa yenye makazi yake magomeni makuti,kupita Blog yake ,inawatakia kila la kheri waislamu wote duniani katika kutekeleza ibada ya swaumu ambayo kwa hapa tanzania imeanza leo.
kuanza kwa ibada hiyo kunatokana na kuonekana mwenzi muandamo hapo jana baada ya maghrib na kuzama dakika chache.

0 comments:
Post a Comment