Aliyekuwa
katibu mkuu wa CUF SEIF SHARIF HAMAD akiomba kura kupata nafasi hiyo
kwa mara nyingine tena muda huu katika uchaguzi mkuu wa chama hicho uliofanyika jana ndani ya ukumbi wa ubungo plaza jijini Dar Es Salaam.
Chama cha wananchi CUF jana kilifanya uchaguzi wa viongozi wakuu
wa chama chao ambapo wagombea mbalimbali wamejitokeza kugombea nafasi
hizo.
Katika nafasi ya uenyekiti wa chama hicho taifa
wagombea watatu wamejitokeza kugombea nafasi hiyo ambao kwa majina ni
aliyekuwa mwenyekiti wake pr LIPUMBA,MH CHIEF LUTAYOSA YEMBA.
pamoja na mh MBEZI ADAM BALARI,huku
nafasi ya makamu mwenyekiti na katibu wakijitokeza wagombea mmoja mmoja
ambao ni katika umakamu wa mwenyekiti amejitokeza mh JUM,A DUNI HAJI,na
katika nafasi ya katibu mkuu wa chama hicho amejitokeza mh SEIF SHARIF
HAMAD ambaye alikuwa ameshikilia nafasi hiyo.
Matokeo ya uchaguzi huu yatakujia baadae hapa hapa katika mtandao wenu.
Wagombea
wa uenyekiti wa chama hicho PROFESA IBRAHIMU LIPUMBA akiwa anajadili
jambo na mgombea mwezake kabla ya wajumbe kuamua nani wampe tena
uenyekiti wa chama hicho cha CUF leo muda huu.
Uchaguzi
wa kuwapata wawakilishi katika mkutano mkuuu wa chama hicho tayari
umemalizika na tayari wajumbe hawa ndio wajumbe wa mkutano mkuu wa chama
cha wananchi CUF waliochaguliwa jana jijini Dar es Salaam
Jun 26, 2014
PATA YALIYOJIRI KATIKA UCHAGUZI MKUU WA CUF
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment