Hatimae
Msikiti iliyo na historia ya vugu vugu kubwa la vijana walio na fikra
ya kusimamisha khilafa na Izza katika Mkoa mzima wa Pwani.
Taarifa
iliyosambwazwa kwenye mitandao za Kijamii ilielezea kubadilishwa jina la
zamani na kupewa jina inayostahiki ambapo waislaam kadhaa walipata kuwa
Mashaidi kwenye Msikiti hiyo.
Kwanzia siki mbili zilizopita
Msikiti huo ulipewa Jina la Mashaidi waliotangulia mbele ya haki na
kukataa dhulma kutoka kwa Maadui wa Allah na Uislaam,Masjid Mussa kwa
sasa unajulikana kwa jina la "MASJID SHUHUDAA".
MPANGO WA WANASIASA KUWAPIGA MISASA VIJANA WANAOWAACHIA
Baada ya Tukio la masjid Musa, kulishikwa zaidi ya Waislamu 100 na kupelekwa Gerezani kwa Tuhma ya Ugaidi na Mauwaji.
wengi
kati ya hao walioshikwa walikuwa ni Vijana wadogo sana na Korti ikaamua
waachiliwe huru, na kukatokea tokeo lapili lakuwachiliwa Waislamu huru,
ambapo Vijana wanawake na hata Ndugu zetu wengine pia wakapata nafasi
yakuwachiliwa huru na kurudi majumbani mwao.
Baadhi ya Vijana walioachiwa kutoka Gerezani wakila Mlo na Mwanasiasa wa mji wa Mombasa.
Matokeo
yote mawili yalisimamiwa na Abu Joho, ndugu yake Mkubwa Haasan Joho na
khabari zakuaminika zasema Abu ndie anaemsimamia Ndugu yake kwa kila
kitu na ndie anaendesha mambo.
Kuachiliwa
kwa ndugu zetu ni jambo lakufurahisha na ni jambo la Kheri, lakini
imeamza kudhuhurika kuwa kitendo chakuwaacha huru hakikuwa Lillahi bali
kuna malengo nyuma yake.
kwa
Mfano Abu Joho wala Ndugu yake hawajasikika wakilaani kitendo cha
mauwaji ya Waislamu waliokuwa hawana silaha wala hawajasikika
kuzungumzia kuwatoa ndugu zetu ambao bado wako gerezani. Pia
lilipochomwa Kanisa Hassan Joho alihudhuria na kutoa millioni moja kwa
malengo yakusaidia ujenzi wa Kanisa hilo, lakini baada ya kunajisiwa
Msikiti hajatoa hata ndururu yake ya haramu hata kwa malengo
yakuwadanganya Waislamu.
Bali
kuna ufununu kuwa uvamizi wenyewe ulikuwa umeamrishwa na huyu huyu
Ambae sasa ajidai awasaidia Waislamu walioshikwa nae ni Abu Joho.
sasa
yabidi tuulize jee hawa waliotolewa amewasaidia kwa kuwa wamedhulumiwa
au amewatoa kwa muelekeo wa Serekali ambayo kuanzia na mwanzo haina haki
kuwashtaki watu waliokuwa wamekaa kwa Amani ndani ya Msikitini.
Twauliza
kwanini hawa walioshikwa na kutolewa hivi sasa walazimishwa kwenda
kuonana na Ma-Shekhe kama vile Sheikh Nassor huko Masjid umm-Kulthum
Serani kwa malengo yakuondolewa fikra walizokuwa nazo za Jihad.
halafu
hupelekwa kwa Abu Joho na kulishwa Biriani na kupawa kila mtu kitu
kidogo kabla yakwenda zao majumbani mwao. sasa Jee malengo yakuwatoa ni
yapi ?
Mar 1, 2014
Mpango wa Kuwapiga msasa Vijana walio na Fikra ya Jihadi na Masjid Mussa kuitwa Masjid Shuhadaa.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment