Dec 30, 2013

Vijana wa Kisalafi wawadhibiti Mashekhe wanaoungwa mkono na Serikali ya Kenya

somalimemo.net 
Nchi ya Kenya iliyo katika Bara la Afrika Mashariki kunaishi Watu jamii ya Waislaam walio wengi,Nchi ya Kenya kuna Serikali ya Kinasara iliyo sehemu ya Mapambano dhidi ya Waislaam ambao nchi za Magharibi wanauita "Mapmabano dhidi ya Ugaidi".

Mwishoni mwa mwaka 2006 wakati wa uvamizi wa Ethiopia dhidi ya Ardhi ya Somalia Serikali Kibaraka ya Kenya iliwakamata Madu'ati kadhaa iliyowakabidhi kwa utawala wa Ethiopia na hatimae wengine kupelekwa nje ya Nchi ya Kenya.


Vitimbi vya Serikali ya Kenya dhidi ya Waislaam ulianza miaka ya themanini katika mauaji ya halaiki ya Waislaam wa Kaskazini ulio maarufu kwa "Mauaji ya Wagala" uliofanyika kwenye makazi ya jamii ya  Wasomalia waishio Kaskazini Mashariki mwa Kenya.

Ushirikiano uliopo Makachero wa Kenya,Ethiopia na Marekani iliyojengeka mapambano dhidi ya Waislaam ilidumu miaka kadhaa lakini mwaka 2011 Serikali ya Kenya imejitokeza wazi na kuonyesha Uadui wake dhidi ya Uislaam ilipoivamia kijeshi Ardhi ya Somalia na kwanza kuwaua Madu'ati wa Haki na kuwapoteza Vijana kadhaa wa Kislaam.

Vijana wa Kislaam waliokuwa na hasira walijitokeza juzi usiku mbele ya moja wa Mashekhe waovu ambao alikuwa na lengo la kutoa Muhadhara ya kupinga Jihad pamoja na Vugu vugu la vijana wa Kislaam katika msikiti moja iliyo mashuhuri mjini Mombasa.

Shahiid Sheikh ambae ni Mwenyekiti wa Baraza la Maimamu nchini Kenya alijikuta akishambuliwa baada ya Swala ya Maghribi alipokuwa amesimama kwenye Mimbar,ghafla Shekhe huyo alishambuliwa na Vijana waliokuwa wameketi katika safu ya mbele.
 
Baada ya Muda mfupi Shekhe huyo alijikuta amejeruhiwa vibaya na badae kupata msaada wa Maaskari wa GSU walioingia Msikitini hapo kwa nguvu na kumwondoa haraka akiwa na hali mbaya.

Msikiti huo unaojulikana Masjid Sakina iliyopo Mitaa ya Majengo ambapo Serikali ya Kenya inaamini ni eneo iliyo ngome ya Vijana walio na Msimamo mkali na pia Mashekhe wao kuuliwa na Makachero wa Serikali ya Kenya wakishirikiana na yale ya Marekani kwenye mji wa Mombasa.


Kikosi cha kupambana na Ugaidi waliofika kwenye Msikiti huo walisema kuwa walikuwa na habari kwamba yule Shahiid Sheikh aliyeshambuliwa angeweza kutoa Darsa iliyopangwa kuhudhuriwa na vyombo vya Habari nchini Kenya waliokusanywa katika msikiti wa Sakina.


Lengo la Darsa iliyokuwa imepangwa na Serikali ya Kinasara ya Kenya kwa kushirikiana na Mashekhe mjini Mombasa ilikuwa kuuchafua Jihadi inayoendelea katika Ardhi ya Somalia pamoja na vuguvugu la Vijana wa Kislaam walio na Fikra ya Jihadi.



"Vijana walikasirishwa na matamshi ya yule Shekhe,watu walituambia kuwa alishambuliwa wakati alipokuwa akitoka msikitini,walimchapa vibaya Shekhe yule ingawa baadae aliokolewa"alisema kamishna wa Polisi mjini Mombasa na kuongeza kuwa wataendelea na uchunguzi zaidi.


Serikali ya Kenya hivi karibuni iliandaa Baraza la Mashekhe inayowaunga mkono kwa lengo la kuuchukua misikiti mikubwa mitatu iliyopo mjini Mombasa ambazo ni Masjid Umar Bin Khatab,Masjid Mussa na Masjid Sakina ili kuuzima vuguvugu la vijana wa Kisalafi wanaoiunga mkono Jihadi.

0 comments:

Post a Comment